MULIKA TV SHOW. KARIAKOO MARKET/ LIFAHAMU SOKO KUU LA KARIAKOO MULIKA KA...
kipindi cha Mulika kinachoandaliwa na TETERE MEDIA kinazidi kukupa
uhondo wa kufahamu na kuyamulika mambo mbali mbali kwa undani. safari
hii wametuwekea tena SOKO KUU LA KARIAKOO soko maarufu kuliko masoko
yote Tanzania.
hebu pata nafasi ya kutazama soko hili
ili uweze kujua limeanza lini, limeanzishwa na nani, limebuniwa na nani
na kwanini linaitwa soko la kariakoo.
No comments:
Post a Comment