WADHAMINI WETU

WADHAMINI WETU

Tuesday, January 3, 2017

KOCHA WENGER ALIFAGILIA BAO LA GIROUD

ASEMA   Bao la Giroud miongoni mwa 5 bora

Bao la Giroud dhidi ya Crystal PalaceBao la Giroud dhidi ya Crystal Palace.

Bao la Olivier Giroud la 'scorpion ama nge' katika ushindi wa Arsenal wa 2-0 dhidi ya Crystal Palace ni miongoni mwa mabao matano muhimu katika uongozi wa Arsene Wenger.
Mabao ya Thiery Henry na Dennis Bergkamp ni miongoni mwa mbao aliyofurahia lakini akasema hili litakuwa 'bao la Giroud'.

Aliongezea: Si bao la kawaida lakini Giroud's alitoa kitu maalum.
Giroud amesema kuwa bao hilo alilifunga kwa bahati.
Uvamizi wa Arsenal katika ngome ya Crystal Palace ulimfanya Giroud kufunga bao hilo maridadi kutoka kwa krosi iliopigwa na Alexi Sanchez.
BBC

No comments:

Post a Comment