WADHAMINI WETU

WADHAMINI WETU

Tuesday, January 3, 2017

MBUNGE WILFRED LWAKATARE WA CHADEMA AZIDI KUMWAGIA SIFA RAIS MAGUFULI


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi9kgjdb475aBJnXg7o5DTl4On1_15C6AYZFVwVVGKPWsCqHrDHFCwY4YFceWjZz1DEnon1RgLUlO1Rff1e9Y2Asmcj610urQeGzqFhXwUqjAVD9SBBLdhn7dNqYxn0D6vU_PPVhFw-dp4/s1600/IMGS8762.JPGPicha ya Maktaba inamuonyesha Mbunge wa Bukoba Mjini Wilfred Rwakatare CHADEMA akiwa katika viwanja vya bunge akiteta jambo na waziri mkuu Kassim Majaliwa.

katika ukurasa wake wa Facebook ameandika hivi:. 
 
Mimi sina tatizo na Mh Rais Magufuli, anaendesha nchi vizuri.Kilio cha siku nyingi chetu sisi wapinzani ni kumpata Rais anayepinga rushwa na ufisadi kimesikika. Magufuli anaifanya kazi hiyo vizuri .Tumuungeni mkono. Mapungufu yaliyopo yasitufanye vipofu kuona mazuri yake.
Huwa sijibizani na ujinga mitandaoni na hasa kulishwa maneno. Nina uzoefu wa kesi ya kwanza ya ugaidi nchi hii na kilichofanyika kupitia mitandao. Wanaoweka maneno mitandaoni  wanashindwa nini kuweka clip ya video ikionyesha hotuba yangu ya dk 5 niliyoyaongea kwenye Mkutano Bukoba?
Mimi ni nyani mzee,nimeshakwepa mishale mingi. Huo haunipati n'go
3.1.2017.
WILFRED LWAKATARE MBUNGE WA BUKOBA MJINI (CHADEMA)

No comments:

Post a Comment