Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y.
Ndugai akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Tabora Mhe Aggrey Mwanri mara
baada ya kuwasili Mkoani humo kushiriki mazishi ya aliyekuwa Spika wa
Bunge la Tisa Marehemu Samuel Sitta.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y.
Ndugai akiwasili Nyumbani kwa aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa Marehemu
Samuel Sitta Urambo, Tabora kushiriki mazishi ya Spika huyo Mstaafu.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Y.
Ndugai akimpa pole Hajjat Zuwena Fundikira Mama wa aliyekuwa Spika wa
Bunge la Tisa Marehemu Samuel Sitta
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa Marehemu Samuel Sitta wakati wa mazishi wa Spika huyo Mstaafu.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai akitoa salama za rambirambi wakati wa mazishi wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa Marehemu Samuel Sitta
No comments:
Post a Comment