Bi. Maua Rubibi.
umoja wa wafanya biashara ndogo ndogo mikoa ya kigoma,tabora, mwanza na
Dar es salaam wamefurahia elimu ya mfumo mpya ya utunzaji wa kumbukumbu
za kibiashara zao unaohusisha mauzo na bakaa (stocks) waliyopewa kwa
njia ya mtandao wa Whatsapp na Afisa masoko wa taasisi ya Straightbook
bi. Maua Ramadhani Rubibi hivi karibuni.
bi maua ameelimisha kuwa Straight ni huduma nafuu yenye bei tofauti tofauti kulingana na uwezo na uhitaji wa mtumiaji,
''Ukitumia online utalipia 20elfu Kwa mwezi, utajiregister Kwenye website yetu
www.straightbook.com
ila ukifanyiwa installation kuna malipo ya aina tatu, Moja utalipia
25elfu kwa mwezi for single user ila njia ya pili kwa yule hataki
kulipia mwezi mwezi atalipia laki5 kisha atatumia mfumo na kulipia laki
moja moja kwa ajili ya upgrades na supports kila mwaka Njia ya mwisho ni
kununua package na kutumia bila malipo mengine, hii utalipa mill 1.9
(million moja na laki9) utapata free supports na upgrades Kwa kipndi
chote na Kwa idadi yeyote ya watumiaji, straightbook haina limit ya
users na pia mnaweza kushare kwnye local network moja, karibu sana''.
No comments:
Post a Comment