WADHAMINI WETU
Thursday, February 2, 2017
HABARI PICHA: WAZIRI MKUU MAJALIWA ANA KWA ANA NA MZEE JOHN MALECELA DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Mzee John Malecela wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kilimani mjini Dodoma leo Februari 1, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mzee John Malecela wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kilimani mjini Dodoma Februari 1, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu, Mzee John Malecela wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Kilimani mjini Dodoma leo Februari 1, 2017. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment