IMESIMULIWA NA DOKTA. MUNGWA KABILI………….0744 000 473
Wachawi
wana uwezo wa kutengeneza magonjwa mbalimbali kama vile ugumba,
udhaifu wa nguvu za kiume, kifafa, upofu, ukichaa, kiharusi, ukimwi
nakadhalika.
Hapa
mgonjwa akienda kupimwa hospitali anakutwa hana tatizo wala
ugonjwa wowote lakini anakuwa anaonyesha dalili zote za ugonjwa
husika. Ukiona hali hiyo basi ujue ugonjwa wako umetengenezwa
na wachawi.
Mara
nyingi,ingawa si mara zote, kabla wachawi hawajamtupia mtu
ugonjwa husika, hujidhihirisha kwanza kwa kutumia njia zao za
kichawi kama muhusika hana maradhi wanayo taka kumsababishia.
Kama
wakigundua mhusika tayari anaugua maradhi wanayo taka
kumsababishia, basi humtengenezea ugonjwa mwengine, na ndumba
ambazo zingetumika kumsababishia maradhi mhusika, huelekezwa kwa
mtu mwingine ( Katika ulimwengu wa wachawi, ndumba zina gharama
kubwa sana, hivyo huwa hazitumiki bila sababu wala faida )
Kwa
mfano huko vijijini, kama wachawi wanataka kumtengenezea mtu
ugonjwa wa kisukari, watataka kwanza wajue kama mtu huyo tayari
ana maradhi ya kisukari au bado hajaanza kushambuliwa na
kisukari.
WACHAWI WANAJUAJE KAMA MTU FULANI ANA MARADHI YA KISUKARI
Kujua
kama mtu Fulani ana maradhi ya kisukari, wachawi watafuatilia
mienendo ya mtu huyo kwa lengo la kupata sehemu atakayo kojoa.
Siku wakibahatisha kumuona mhusika amekojoa mahali, basi
watakwenda hadi kwenye eneo alipokojoa na kusubiri kwa muda wa
kuanzia dakika arobaini hadi lisaa limoja. Ndani ya muda huo,
KAMA WATATOKEA SISIMIZI, basi ujue mtu huyo ANA KISUKARI lakini
KAMA SISIMIZI HAWATATOKEA basi ujue mtu huyo HANA MARADHI YA
KISUKARI. Baada ya kipimo hicho ndipo watachukua hatua stahiki,
za ama kumsababishia maradhi ya kisukari ama vinginevyo (
KUHUSU NAMNA WACHAWI WANAVYO TENGENEZA “KISUKARI CHA KICHAWI”
NITAELEZEA SIKU ZIJAZO.)
Ukimwi
wa Kichawi : Katika ulimwengu wa kitabibu, “ ukimwi wa kichawi”
ni pale mtu anapo onyesha dalili zote za muathirika wa ukimwi,
lakini vipimo vya hospitali vinaonyesha mtu huyo yupo (
HIV-NEGATIVE) yaani bado hajaathirika .
Hapa
mgonjwa husika, atapimwa vipimo vyote vya hospitali na vyoote
vitaonyesha hajaathirika, lakini ataendelea kuonyesha dalili zote
za mgonjwa wa ukimwi . Mgonjwa huyu ataendelea kuugua na
kuteseka bila kupata nafuu yoyote licha kutumia dawa mbalimbali,
na mwisho wa siku atapoteza maisha yake.
Zipo
njia kuu mbili wanazo tumia wachawi kusababisha maradhi ya
aina mbalimbali kwa watu mbalimbali. Njia ya kwanza, ni kwa
njia ya kuwalisha dawa mbalimbali za kichawi, ambazo husababisha
maradhi ya aina mbalimbali ( WACHAWI WANA MAARIFA MAKUBWA SANA
JUU YA MITI MBALIMBALI INAYO SABABISHA MARADHI NA MATATIZO
MBALIMBALI )
Njia
ya pili ni kwa njia ya majini. Hapa mgonjwa husika,
atasababishiwa maradhi ya aina Fulani kwa kutumiwa majini
majini ambayo yameapishwa kwenda kufanya makazi yao kwenye damu
ya mtu aliekusudiwa na kusababisha maradhi Fulani kwa mtu
huyo, hadi pale umauti utakapo mkuta.
Katika
kutengeneza “ ukimwi wa kichawi “ pia zipo njia kuu mbili
zinazo tumiwa na wachawi. Njia ya kumlisha mkusudiwa ndumba za
kichawi ambazo husababisha mtu kuugua maradhi yanayo fanana
dalili zake na maradhi ya ukimwi na njia ya pili ni kumtupia
majini ambayo yatamfanya augue maradhi yanayo fanana na ukimwi.
Leo
tutaangalia njia ya kwanza, yaani njia ya kumlisha ndumba za
kichawi mtu aliye kusudiwa. Tutaangalia njia wachawi wanavyo
weza kumlisha mtu uchawi, utakao msababishia maradhi ya ukimwi
na jinsi unavyo weza kujikinga dhidi ya husda hiyo, na kwa
wale ambao tayari wameshalishwa uchawi huo, jinsi wanavyo weza
kusaidiwa kupata tiba ya kuondoa maradhi hayo ya kichawi
mwilini.
Zipo
njia zaidi ya arobaini ambazo wachawi wanaweza kuzitumia,
kutengeneza uchawi na kumlisha mtu, ambao utamsababishia kuugua
maradhi ambayo dalili zake zinafanana na ukimwi. Leo tutaingalia
njia moja wapo kama ifuatavyo
JINSI WACHAWI WANAVYO TUMIA MAJI YA KISIMA KUTENGENEZA “ UKIMWI WA KICHAWI “
Awali
ya yote, wote tunapaswa kufahamu kwamba katika ulimwengu wa
tiba za jadi “ MAJI” yanaweza kutumika kama TIBA na wakati huo
huo, yanaweza kutumika kama “ UCHAWI WENYE KUDHURU”
Maji
yenyewe kama yenyewe, bila kuchanganya na kitu chochote kile,
yanaweza kutumika kama tiba ya magonjwa karibu yoote unayo
yafahamu, kuanzia kisukari, kifafa, ugumba, udhaifu katika nguvu
za kiume, kuongeza urefu wa maumbile ya kiume ( HAPA HUTUMIKA
MAJI YAITWAYO MAJI YA FATIRU ), fangasi za sehemu za siri,
magonjwa ya ngozi, nakadhalika.
Sio
tu katika kutibu magonjwa na maradhi mbalimbali, maji pia
hutumika kama tiba dhidi ya matatizo mbalimbali ya kimaisha
kama vile kuondoa nuksi, mikosi nakadhalika.
Vile vile maji yanaweza kutumika katika kutengeneza uchawi wenye kudhuru, wa aina mbalimbali.
(
KATIKA SIKU ZINAZO KUJA, NITAWEKA SOMO KUHUSU TIBA MBALIMBALI
ZA JADI KWA NJIA YA MAJI BILA KUSAHAU, JINSI WACHAWI WANAVYO
TUMIA MAJI KUTENGENEZA UCHAWI WENYE KUDHURU WA AINA MBALIMBALI )
Katika
ulimwengu wa tiba za jadi, maji ya mtoni, baharini, ziwani,
kisimani, kwenye dimbwi nakadhalika, huweza kutumika eidha kama
tiba ya magonjwa mbalimbali au kama uchawi wa aina mbalimbali.
Kinacho
yapa maji hayo kuwa na nguvu ya kitabibu, ni njia zilizo
tumika kuyachukua maji hayo. Kila maji yanatumika katika tiba
yake na uchawi wake. Maji ya mtoni yana tiba zake na uchawi
wake, maji ya ziwani, maji ya baharini, kisimani nakadhalika.
Mfano
mdogo, maji ya mtoni yanaweza kutumika katika kutengeneza
uchawi unaoitwa “ NSUNKWA” ambao ni maalumu kwa ajili ya
kumuhamisha adui yako, aende kuishi mbali na wewe.
Kila aina ya maji yana taratibu yake namna ya kuyachukua na kuyatumia katika eidha tiba au uchawi.
Leo tutaona jinsi wachawi wanavyo tumia maji ya kisima, katika kutengeneza maradhi ya ukimwi.
Katika kutengeneza ukimwi wa kichawi, wachawi hufanya kama ifuatavyo :
Kwanza
wanachukua maji ya kisima kisicho kauka .Pili wanachukua kitovu
cha mtoto mchanga kilichodondoka chenyewe ( Kuweni makini sana
na vitovu vya watoto wenu )
Tatu
wanachukua “ Tegelo” ; Kwa wale wasio fahamu Tegelo ni mfuko wa
chakula cha kuku na chakula chake. Tegelo na kitovu cha mtoto,
vinachanganywa na dawa zingine za aina kumi na tatu ( sitazitaja
zote kwa sababu za kimiiko ya kazi yangu: kuna watu wabaya
wanaweza kujifunza kitu hapo na kwenda kuwaumiza watu )
Vikishachanganywa
vinachomwa vyote kwa pamoja, kisha vinaenda kupikwa njia panda
usiku wa manane kwenye hayo maji ya kisima, pamoja na mafuta
ya usiku. Baada ya hapo linafanyika tambiko maalumu kisha vitu
hivyo vinaenda kuzikwa kaburini kwa muda wa siku saba. Baada
ya hapo uchawi huo utakuwa umekamilika.
JINSI WANAVYO TEGA UCHAWI HUO : Uchawi huo hupitia kwenye chakula ( sana sana “ mboga yenye mchuzi “), au kinywaji.
Mtu
atakae lishwa uchawi huu ataanza kuonyesha dalili za ugonjwa
wa ukimwi, kulingana na muda alio nuiziwa, kama amenuiziwa aanze
kuugua baada ya miezi sita, basi baada ya miezi sita kweli
ataanza kuugua maradhi hayo, kama ni mwezi mmoja ni mwezi mmoja.
Mkilishwa
mke na mume, basi mke na mume wote mtaugua maradhi hayo.
Mkilishwa familia nzima, basi familia yote mtaugua maradhi hayo
mmoja baada ya mwingine. Ndio maana baadhi ya familia unakuta
watu wote ni waathirika.
Na
kama mtalishwa kwenye sherehe , au msiba, basi watu wote mtaugua
maradhi ya ukimwi, isipokuwa tu wale wenye kinga zao.
TIBA YAKE.
Zipo tiba za aina nyingi ambazo zinatibu maradhi haya ya kutengenezwa. Leo tutaangazia tiba moja wapo.
Kama
una muuguza mgonjwa ameugua maradhi haya kwa muda mrefu, bila
nafuu yoyote. Ameenda kupima hospitali akaambiwa hajaathirika
lakini bado anaendelea kuonyesha dalili za mtu aliye athirika,
basi fanya kama ifuatavyo:
- Moja chukua dawa inaitwa Mlali, pili chukua dawa inaitwa Hangachalo,. Tatu chukua dawa inaitwa Tarigula, Nne chukua dawa inaitwa Mwinula, Tano; chukua dawa inaitwa Mzima
- Dawa hizi zitachemshwa pamoja na kisu kikiwa kimesimama ndani, kisha unampa mgonjwa wako anakuwa anakunywa mara tatu kwa siku asubuhi mchana na jioni kwa siku thelathini., Na nyingine unakuwa unampiga nayo mgongoni kila anapokuwa anakunywa.
Atatapika
uchawi wote,na ndani ya siku arobaini, inshaalah uchawi na
sumu yote itakuwa imetoka mwilini na atarejea katika hali yake
ya kawaida.
KINGA : Kinga ni bora, kuliko tiba. Kujiepusha na shari kama hii, unatakiwa uwe na kinga bora.
Zipo
kinga nyingi bora, ila leo nitaelezea kuhusu kinga moja. Kinga
hii inatengenezwa kwa mchanganyiko wa miti na vizimba zaidi ya
mia moja na ishirini . Moja kati ya vizimba vilivyopo katika
kinga hii, ni mti mmoja ambao haupatikani popote pale duniani
isipokuwa mkoa wa Kigoma tu.
Ukiwa
na kinga hiyo, na ikatokea umelishwa uchawi wa aina yoyote ile
utautapika, na aliye kuwekea uchawi huo, atapata madhara makubwa.
IMESIMULIWA NA Dokta.MUNGWA KABILI.. 0744- 000 473
No comments:
Post a Comment