Taarifa kutoka wilayani Arumeru zinasema kuwa Waandishi wa Habari wawili
Bahati Chume ambaye ni mwandishi wa kujitegemea anayeandikia gazeti la
Kila siku la Kampuni ya Mwananchi Communications LTD la Mwananchi na
Dorine Aloyce wa Kituo cha Radio cha Sunrise Radio wamekamatwa na
Jeshi la Polisi na Wanashikiliwa katika Kituo cha Polisi cha Usariver.
No comments:
Post a Comment