WADHAMINI WETU

WADHAMINI WETU

Wednesday, October 19, 2016

BREAKING NEWS : YUSUF MANJI HANA RAFIKI WALA ADUI YANGA ZAIDI YA MAENDELEO YA YANGA





Ukiitazama video hii inayomuonyesha mwenyekiti wa timu ya soka ya Yanga Yusuf Manji, utaona ni jinsi gani anavyokwazwa na mwenendo wa baadhi ya wanachama wa chama hicho pamoja na washabiki wanaoamini katika majungu, kasumba na kushambuliana katika vyombo vya habari na si kufuata taratibu rasmi za visemeo vya chama ambavyo ni vikao halali.



pamoja na mamlaka aliyonayo mbele ya wanachama walio na hasira dhidi ya Mzee akilimali juu ya tuhuma alizomzushia manji, lakini hakumuadhibu na badala yake akamsamehe na kumtaka afuate utaratibu.



wanachama wengi na washabiki wa yanga na michezo kwa ujumla wamempongeza sana Manji kwa hatua hii.



je wewe una maoni gani?.

No comments:

Post a Comment