Katika hali isiyotarajiwa, Diwani maarufu wa Chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA hapa Sumbawanga, (Jina tunalihifadhi kwa sasa) Jana Saa tatu asubuhi amekamatwa na Jeshi la Polisi mkoni hapa akiwa na
Gobole na marobota ya madawa ya kulevya aina ya Bangi Dukani mwake na sasa yupo chini ya uangalisi wa jeshi la polisi .
Habari zaidi tutawaletea
No comments:
Post a Comment