WADHAMINI WETU

WADHAMINI WETU

Friday, October 21, 2016

DC CHONGOLO WA LONGIDO AZINDUA MRADI WA KUZALISHA UMEME KATIKA KIJIJI CHA KITUMBEINE

 
Mkuu wa wilaya ya Longido Mkoani Arusha Mh. Daniel Chongolo na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya ENGIE AFRICA Bw. Bruno Bensasson wakikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa mradi wa uzalishaji wa umeme kwa njia rafiki wa mazingira unaoendeshwa na kampuni ya Engie Afrika wenye uwezo wa kuzalisha 16KW na kuhudumia zaidi ya kaya 100 katika kijiji cha Kitumbeine wilayani Longido.

 
 Mkuu wa wilaya ya Longido Mkoani Arusha Mh. Daniel Chongolo na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya ENGIE AFRICA Bw. Bruno Bensasson wakiwa katika hafla hiyo ya uzinduzi katika kijiji cha Kitumbeine wilayani Longido.


Mkuu wa wilaya ya Longido Mkoani Arusha Mh. Daniel Chongolo na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya ENGIE AFRICA Bw. Bruno Bensasson wakiwa na viongozi wa serikali wilaya ya Longido na maofisa wa Kampuni ya ENGIE AFRICA wakati wa uzinduzi huo.


Baadhi ya waalikwa wakikwemo wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wilayani Longido wakiwa katika hafla hiyo.

No comments:

Post a Comment