WADHAMINI WETU

WADHAMINI WETU

Wednesday, October 12, 2016

RUDISHENI POSHO ZA MWENGE

Taswira ya Utani ya wale waliopokea posho kwa ajili ya kwenda Simiyu kwenye sherehe za kuzima Mwenge wa Uhuru na kusikia Tangazo la Rais kuwaambia warudishe Posho walizolipwa na badala yake kuwaacha watu walio mkoni Simiyu kusimamia sherehe hizo.

No comments:

Post a Comment