WADHAMINI WETU

WADHAMINI WETU

Wednesday, October 5, 2016

MSAJILI WA VYAMA JAJI MUTUNGI AWAVAA WANASIASA, WAPOTOSHAJI.


Msajili wa Vyama vya siasa Nchini, Jaji Francis Mutungi, Jana amewavaa wanasiasa, wanahabari na watumiaji wa Mitandao ya Kijamii kuacha mara moja kuitumia ofisi yake, ama yeye mwenyewe kwenye kutimiza hisia zao na kuwataka wafuate weledi imesema taarifa iliyosambazwa na Monica Laurent Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini kutokea Ofisi hiyo.

No comments:

Post a Comment