WADHAMINI WETU

WADHAMINI WETU

Sunday, October 16, 2016

KIKOSI KAMILI CHA TIMU YANGA KATIKA MECHI YAKE VS AZAM LIGI KUU TANZANIA BARA LEO JUMAPILI 16.10.2016

tayari kikosi cha timu ya soka ya Dar es salaam Young Africans 'YANGA' ambayo pia ni mabingwa watetezi wa ligi kuu tanzania bara  kitakachokwaana na wana rambaramba Azam Fc kimetolewa hadharani.
 Beki wa Kutumainiwa wa Yanga Juma Abdul akipokea Maelekezo kutoka kwa mkufunzi wake
kikosi cha yanga katika mechi za siku za nyuma
Kikosi cha Yanga SC leo dhidi ya Azam FC

FIRST ELEVEN
(1) Dida
(2) Juma Abdul
(3) Haji Mwinyi
(4) Vicent Andrew
(5) Kelvin Yondan
(6) Saidi Makapu
(7) Simon Msuva
(8) Thabani Kamusoko
(9) Donald Ngoma
(10) Obrey Chirwa
(11) Deus Kaseke

 Akiba

(1) Beno Kakolanya
(2) Oscar Joshua
(3) Kanavaro
(4) Matheo
(5) Twite
(6) Mwashiuya.
(7) Juma Mahadhi.

No comments:

Post a Comment