WADHAMINI WETU

WADHAMINI WETU

Tuesday, October 11, 2016

CONGO HAPAKALIKI

Waandamanaji wa upinzani wa DRC wanaonekana wakiharibu mabango yenye picha ya rais Joseph Kabila. Hali ya taharuki liliendelea kutanda huku siku ya uchaguzi ikikaribia.Waandamanaji wa upinzani wa DRC wanaonekana wakiharibu mabango yenye picha ya rais Joseph Kabila. Hali ya taharuki liliendelea kutanda huku siku ya uchaguzi ikikaribia.

Hali ya taharuki ilindelea kutanda katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, huku siku ya uchaguzi wa rais ikikaribia.
Pande zote zinakubaliana kuwa uchaguzi hauwezi kufanyaka mwezi Novemba kama ilivyopangwa, lakini swali kuu sasa ni kuhusu iwapo umaa umtaruhusu Rais Joseph Kabila kubaki madarakani.

Tume ya uchaguzi nchini humo ya CENI ilisema kuwa inahitaji hadi mwezi Decemba 2018 ili kukamilisha kazi ya kusajili wapiga kura na kuitayarisha nchi kwa uchaguzi.

Hata hivyo vyama vya upinzani pamoja na wanadiplomasia kutoka Marekani na Ubelgiji wameshinikiza kuwa uchaguzi ufanyike mwaka ujao.

No comments:

Post a Comment