MAKALLA AZINDUA DAWATI LA JINSIA JIJINI MBEYA
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh.Amos Makalla akifurahi Jambo wakati
akihutubia katika uzinduzi huo wa Dawati la Jinsia Ulio fanyika katika
Uwanja Wa Rwanda Nzovwe Jijini Mbeya.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh.Amos Makalla mwenye Suti ya Bluu akikata
Utepe kuashiria kuwa Kituo Hicho Kimeanza kufanya kazi rasmi na Hakita
munea huruma yoyote Atakae husika na kubainika ni miongoni mwa waalifu
wanao fanya Vitendo vya Kikatili kwa Watoto Ikiwemo Ubakaji na Kulawiti
watoto Jeshi La Polisi kupitia Dawati la Jinsia Litawashughulikia
Vilivyo Waalifu na kuwafikisha kwenye Vyombo Vya Sheria.
MICHUZI BLOG
No comments:
Post a Comment