Barua hiyo ilipigwa chapa na msaidizi wa meneja wa HotelMuhammad Ali alikaa kipindi cha majuma mawili nchini Afrika Kusini.
Muhammad Ali alikuwa nchini Afrika Kisini kwa kipindi kifupi mwezi
Aprili mwaka 1993 baada ya kuwasili muda mfupi baada ya kuuliwa kwa
Chris Hani tarehe 10 mwezi Aprili.
Hani alikuwq kamanda wa kundi la Umkhonto We Sizwe, kundi lililojihami la ANC.
Alikuwa mkosoaji mkubwa wa serikali ya ubaguzi wa rangi na aliuaw mkereketwa mmoja nje ya nyumbayake eneo la Boksburg .
Chris Hani (kushoto).
BBC
No comments:
Post a Comment