Mhe.Diwani wa kata ya kigoma Hussein kalyango akiwa na Mtendaji wa Kata ya kigoma na kamati ya wananchi ya kuomba Hati miliki wakiwa na Mdhamini mkuu wa majengo wa serikali Bi.Evelyne Migasha na Eng.R.H.Mativila Mkurugenzi wa miundombinu katika ziara ya kuangalia nyumba zilizopitiwa na udhamini na kuangalia michanga inayojaza ziwa Tanganyika kama Ahadi ya Mhe Diwani wa Kata ya kigoma
No comments:
Post a Comment