Cruz mwenye miaka 11, ni mtoto mdogo katika watoto watatu wa kiume wa
Beckham. Jumatatu hii amefungua akaunti mpya ya Instagram itakayokuwa
ikisimamiwa na meneja huyo na tayari ina followers zaidi ya 124.
Kwa mujibu wa TMZ, Scooter ni rafiki wa wazazi wake, David na
Victoria, na wanaamini kuwa ni mtu sahihi wa kukuza kipaji chake.
Jumatano hii, Cruz ameachia single yake ya kwanza, If Everyday Was
Christmas.
No comments:
Post a Comment