Rais John Pombe Magufuli, Leo amewaomba watanzania waendelee kupenda mali zao kwa kuunga mkono hatua za serikali za kununua ndege mpya za kisasa aina ya Bombadier, Q400 na CS300 na sasa Boing 787 Dreamliner.
zaidi soma hapa taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari.
No comments:
Post a Comment