Balozi wa
Tanzania nchini Malaysia Dkt. Ramadhani Dau, akiongozana na wasaidizi
wa Mfalme wa Malaysia, Yang di-Pertuan Agong, wakati alipofika kwenye
Kasri la Mfalme huyo kwa utambulisho maalum kwa Mfalme huyo.
Balozi wa
Tanzania nchini Malaysia Dkt. Ramadhani Dau, akiwasilisha hati ya
utambulisho wake kwa Mfalme wa Malaysia, Yang di-Pertuan Agong, wakati
wa hafla fupi ya utambulisho iliyofanyika kwenye Kasri la Mfalme huyo,
hivi karibuni.
Balozi wa
Tanzania nchini Malaysia Dkt. Ramadhani Dau, akipokea salamu maalum za
kijeshi wakati alipofika kwenye Kasri la Mfalme wa Malaysia, Yang
di-Pertuan Agong, kwa utambulisho wake.
No comments:
Post a Comment