Kitendo kile kilichukulia kama ni kuonyesha kukasilishwa na
alichofanya Cesc kwa kumsababishia mchezaji Fernandinho kupewa kadi
nyekundu na nakutolewa.
Waandishi wa habari walimuuliza swali hilo kocha Pep na hili ndio
jibu lake “Nilimsalimia Cesc Fabregas tukiwa kwenye changing
room.Sikuweza kumuona pale uwanjani wakati naongea na wachezaji wangu”.
Baada ya mechi hiyo kumalizika Pep alikua yupo bize kusalimiana na watu mbalimbali ikiwemo kuwapa mikono wachezaji wake.
No comments:
Post a Comment