John Shibuda anayefahamika maarufu kama Drogba.
Katibu mkuu wa chama cha ADA-TADEA John Magale Shibuda ambaye aliwahi kuwa mbunge wa maswa mashariki 2005-2015, leo ameshinda nafasi aliyokuwa akiigombea ya uenyekiti wa baraza la vyama vya siasa akiwaacha kwa mbali washindani wake aliokuwa akishindana nao.
shibuda amepata 12, huku akitanda wa CCK akipata kura 11, mama mghwira wa ACT WAZALENDO aipata kura 8 na Dovutwa waUPDP akiambulia kura 2.
taarifa zaidi zitaendelea kutolewa na JAMVI LA HABARI
No comments:
Post a Comment