Meneja
Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi (kushoto)
akimkabidhi mmoja wa watoto wa kituo cha yatima 'Yatima Group Trust Fund
Mbagala Chamazi mfuko wa unga, . TTCL imekabidhi msaada wa bidhaa
mbalimbali vikiwemo mchele, sukari, mafuta ya kupikia, soda, maji ya
kunywa na mbuzi kwa ajili ya sherehe za Siku Kuu ya Chrismass. Wa kwanza
kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Kituo cha Yatima Group Trust Fund
Mbagala Chamazi.
Meneja
Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi (wa pili
kushoto) akimkabidhi mbuzi Mkurugenzi Msaidizi wa Kituo cha Yatima Group
Trust Fund Mbagala Chamazi. TTCL imekabidhi msaada wa bidhaa mbalimbali
vikiwemo mchele, sukari, mafuta ya kupikia, soda, maji ya kunywa na
mbuzi kwa ajili ya sherehe za Siku Kuu ya Chrismass.
Meneja
Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi (wa tatu
kulia) akimkabidhi mmoja wa watoto wa kituo cha watoto yatima na
wanaoishi katika mazingira hatarishi cha Kimara SUCA maji ikiwa ni moja
ya bidhaa zilizotolewa. TTCL imekabidhi msaada wa bidhaa mbalimbali
vikiwemo mchele, sukari, mafuta ya kupikia, soda, maji ya kunywa na
mbuzi kwa ajili ya sherehe za Siku Kuu ya Chrismass.
Meneja
Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi (kushoto)
akimkabidhi mfuko wa unga Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha watoto yatima
na wanaoishi katika mazingira hatarishi cha Kimara SUCA, Evans Tegete
ikiwa ni baadhi ya msaada uliotolewa na kampuni hiyo. TTCL imekabidhi
msaada wa bidhaa mbalimbali vikiwemo mchele, sukari, mafuta ya kupikia,
soda, maji ya kunywa na mbuzi kwa ajili ya sherehe za Siku Kuu ya
Chrismass.
Picha ya pamoja ya baadhi ya watoto kutoka vituo vyote vilivyosaidiwa na viongozi wao.
Meneja
Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi (wa pili
kushoto) akimkabidhi mbuzi mmoja wa watoto wa kituo cha watoto yatima na
wanaoishi katika mazingira hatarishi cha Kimara SUCA. Kulia ni
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo hicho, Evans Tegete.
Meneja
Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi (kushoto)
akimkabidhi mmoja wa watoto wa kituo cha yatima 'Yatima Group Trust Fund
Mbagala Chamazi sehemu ya msaada uliotolewa na kampuni ya TTCL kwa
ajili ya sherehe za Siku Kuu ya Chrismass.
Picha ya pamoja baada ya shughuli ya kukabidhi misaada hiyo.
Baadhi ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu wakibeba sehemu ya misaada waliyokabidhiwa na TTCL
No comments:
Post a Comment