Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira, Mh.
January Makamba akiongea na Wahahariri wa Jukwaa la Wahariri (hawapo
pichani) kuhusu ziara ya mazingira aliyoifanya katika mikoa mikumi
Nchini Tanzania manamo mwezi wa Novemba. Aliyeko katikati ni Katibu Mkuu
Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Mbarak Abdulwakil na kulia ni Kaimu
Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Richard Muyungi.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira, Mh. January
Makamba akionyesha kwa Wahariri wa vyombo vya habari, picha tofauti za
maeneo mbalimbali aliyotembelea wakati wa ziara yake ya kutembelea Mikoa
10 Nchini kuangalia athari za mazingira.
Kaimu Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Richard Muyungi akiongea wakati wa Mkutano huo.
Sehemu
ya Wahariri na Waaandishi wa Habari mbalimbali waliohudhuria mkutano wa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira, Mh.
January Makamba alipoongea nao Ofisini kwakae kuongelea ziara yake
aliyoifanya kwa mikoa 10 Nchini.
No comments:
Post a Comment