Baba Askofu wa Jimbo la Singida Askofu
Edward Mapunda akimuombea na kumbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya Ibada ya Krismasi katika
Kanisa Kuu la Moyo Mtakatifu wa Yesu mkoani Singida.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mke wake Mama Janeth Magufuli
wakiwa katika Misa ya Krismasi katika Kanisa Kuu la Moyo Mtakatifu wa
Yesu mkoani Singida.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
akiwasalimia waumini wa Kanisa Kuu la Moyo Mtakatifu wa Yesu mkoani
Singida mara baada ya kushiriki Misa ya Krismasi katika kanisa hilo
mkoani Singida
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia waumini wa Kanisa Kuu la
Moyo Mtakatifu wa Yesu mkoani Singida mara baada ya kushiriki Misa ya
Krismasi katika kanisa hilo mkoani Singida.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Baba Askofu wa Jimbo la
Singida Askofu Edward Mapunda mara baada ya Ibada ya Krismasi katika
Kanisa Kuu la Moyo Mtakatifu wa Yesu mkoani Singida.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Baba Askofu wa
Jimbo la Singida Askofu Edward Mapunda mara baada ya Ibada ya Krismasi
katika Kanisa Kuu la Moyo Mtakatifu wa Yesu mkoani Singida.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli
wakisalimiana na waumini wa Kanisa Kuu la Moyo Mtakatifu wa Yesu mkoani
Singida mara baada ya ibada ya Krismasi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli
wakipunga mkono wakati wakitoka kwenye Kanisa Kuu la Moyo Mtakatifu wa
Yesu mkoani Singida. PICHA NA IKULU
Hapa wakiwa katika sala.
Rais Magufuli na mkewe wakisilkiliza neno
No comments:
Post a Comment