Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa NEC kabla ya kufungua rasmi Kikao
hicho jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahman Kinana akitoa hotuba yake kabla ya kuanza kwa kikao hicho cha NEC jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya Wajumbe waliohudhuria kikao hicho cha NEC wakifatilia kwa makini
Hotuba iliyokuwa ikitolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
Rais Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya Wajumbe waliohudhuria kikao hicho cha NEC jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment